MAGWIJI WA KISWAHILI MIIGO YA KCPE

KSh690.00

Magwiji wa Kiswahili, Miigo ya KCPE, ni kitabu cha aina yake cha udurusu ambacho:

  • Kina miigo 20 ya mtihani wa KCPE ambayo inafuata mtindo wa utahini pamoja na mfumo wa uteuzi wa maswali wa KCPE
  • Kina vidokezo muhimu vya namna ya kufanikiwa katika mtihani wa Kiswahill wa KCPE kina majibu kwa maswali yote – kimeandikwa kwa mtindo sahili na unaovutia sana ambao unarahisisha matumizi
  • Kina maagizo ambayo hutolewa na Baraza la Mitihani la Kenya kwa kila karatasi ya mtihani wa KCPE

Quantity:

Description

Unaweza ukawa gwiji mkuu! Vitabu vya Miigo ya KCPE ni msururu mpya uliotungwa kispesheli kukufanya wewe kuwa gwiji. Kila kitabu katika msururu huu kimeandikwa na walimu na watahini wenye tajriba pevu. Wameitalii silabasi ya shule za msingi na kutunga maswali yenye kina kikuu huku wakizingatia kwa karibu sana mtindo unaotumiwa na mtihani wa KCPE. Kwa mtahiniwa, vitabu hivi ndivyo njia ya hakika ya kuelekea kwenye upeo wa ufanisi katika mtihani wa KCPE. Kwa mwalimu na mtahini, vitabu hivi ndivyo miongozo ya hakika ya mitihani.

There are no reviews yet.

Add your review