KASRI YA MWINYI FUAD

KSh420.00

Kasri ya Mwinyi Fuad ni mojawapo wa riwaya maarufu katika fasihi ya Kiswahili. Hii ni riwaya inayosawiri mvutano baina ya ubwana na umwinyi kwa upande mmoj a na unyonge na utwana kwa upande wa pili. Ni riwaya inayotupa taswira za kuchokonoa akili kuhusu madhambi ya ubwana na umwinyi. Ni riwaya inayotoa picha ya vuta n’kuvute inayomkumba mwanamke katika jamii. Riwaya hii imetafsiriwa katika lugha za Kijerumani, Kirusi na Kifaransa

Out of stock

Category: Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review