KAMUSI YA METHALI – VIDE MUWA

KSh800.00

Kamusi ya Methali: Maana na Matumizi ni kitabu chenye mkusanyiko mkubwa wa methali za Kiswahili. Kamusi hii imezieleza na kuzifafanua methali kwa mtindo mwepesi na wa kina. Hii ni kamusi yenye mpangilio wa kipekee ambao utamsaidia mtumiaji wa kamusi kuzielewa na kuzilinganisha methali.

Sifa nyingine za kamusi hii ni:

  • Zaidi ya methali elfu tatu na themanini.
  • Visawe vya methali vinavyozidi elfu moj a mia nne arobaini.
  • Ufafanuzi mwafaka wa msamiati uliotumika katika methali.
  • Maelezo ya kina ya matumizi ya methali.
  • Muundo na mtindo wa kuvutia.

Out of stock

Categories: , Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review