KACHUMA NA POLISI WEZI

KSh300.00

Nicky Kachuma, kijana wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Toredi, amefukuzwa shuleni kwa kukosa karo. Akiwa njiani kuelekea nyumbani anashuhudia gari la benki likivamiwa na wezi na pesa zote kuibwa. Anawajulisha polisi wanaochangamkia jambo hilo. Je, watatekeleza wajibu wao au vipi? Je, Kachuma atauawa au ataokoa pesa kupotea? Soma ili ufurahie uhondo huo.

Quantity:

Category: Tag:

There are no reviews yet.

Add your review