JOTO LA MOYO – STORY MOJA

KSh400.00

Bwire anaishi na nyanya na babu zake ambao hawana bee wala tee ijapokuwa wao ni wazazi wa daktari mashuhuri jimboni. Licha ya changamoto chungu nzima, Bwire ana ndoto maishani. Amefua dafu katika mtihani wa taifa wa Darasa la Nane. Atatoa wapi pesa za kusomea shule ya upili? Ndoto yake iatafifia?

Nyaya yake, Bi Zahara, anampasulia mbarika kuhusu hali iliyowakumba wazazi wake hata wakasalia mafuta na maji. Taarifa anayopata kwamba mama yake anaishi Eldoret inamchochea kefunga safari kuenda kumtafuta. Je, atampata mama yake?

Quantity:

Category: Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review