JE, HUU NI UUNGWANA? – OUP

KSh300.00

Je, huu ni uungwana? 8b  ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.  Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya shajara, tawasifu, barua, utambaji wa hadithi, mbinu rejeshi, hotuba    kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dagolojia, misemo, methali. taharuki, tashihisi. tanakati za sauti, kejeli, vichekesho na     picha za rangi zenye kusisimua.   kuwapitisha na kuwatea wanafunzi katika mazingira ya afya, madawa ya kulevya, siasa. unyumba. ujirani mwema. uvumilivu, uadilifu. haki za watoto, kazi,uwajibikaji, utu, adabu, teknolojia, habari na mawasiliano.  Mradi wa Kusoma ni mfutulizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Quantity:

There are no reviews yet.

Add your review