INSHA SADIKIFU, SHULE ZA MSINGI – EAEP

KSh650.00

Baadhi ya sifa kuu zinazokifanya kitabu hiki kuwa bora zaidi ni:

  • Maelezo kuhusu maandalizi kabambe kabla ya kuandika insha.
  • Ufafanuzi wa kina wa mazingatio muhimu katika uandishi wa insha.
  • Maelezo ya pekee kuhusu uakifishaji wa maandishi.
  • Mwangaza juu ya lugha bora za insha na zile zisizofaa kutumiwa katika insha.
  • Maelekezo kuhusu namna ya kuandika insha zote kwa mujibu wa silabasi ya shule za msingi.
  • Maelezo ya maana na mifano mbalimbali ya fani za lugha zifaazo kutumiwa katika insha.
  • Mifano ya kusisimua ya kila aina ya insha.
  • Mwongozo wa namna ya kuchanganua mada za maswali ya insha.

Quantity:

Category: Tag:

There are no reviews yet.

Add your review