Heko na Haki

KSh150.00

Hadithi hii inawahusu Heko, Haki na marafiki zao Sudi na Bidii. Watoto hawa wote licha ya kushiriki kwenye michezo yao kwa pamoja, wanawatii wazazi wao na kila mtu,wanaheshimiana na wanakua kulingana na wakati na umri wao. Nina imani kuwa kila mmoja atakapoisoma hadithi hii ataifurahia. Je, wewe waupenda mchezo upi? Tom Nyambeka (Mtatago) si mgeni katika ugawa uandishi. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni pamoja na Ahaa! Roda, Kivuli cha Mauko na Bintu na Bintutu.

Quantity:

There are no reviews yet.

Add your review