Hatima ya Musa

KSh250.00

Musa anadanganywa na rafiki yake Dokta. Musa anaishi kupotea karo ya shule kupitia mchezo wa kamari ila anazidi kuendelea kuucheza. Hatimaye anakamatwa na polisi na kupelekwa kwenye kituo cha  police. Je, hatia ya Musa ni ipi? Soma hadithi hii ya kusisimua ujue yanayompata Musa. Maina Dominic Oigo ni mwandishi chipukizi na mtetezi mkubwa wa kiswahili. Ni msomi kutoka Chuo cha Kenyatta. Maina amekuwa akishiriki katika kipindi cha Mawimbi ya Lugha Katika runinga ya KUTV

Quantity:

Category: Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review