HADITHI ZA BABU

KSh220.00

Katika hiki kitabu cha hadithi za babu,mna hadithi fupi fupi ambazo zitaangazia wanafunzi mengi kuhusu lugha ya kiswahili.hiki kitabu kimetungwa kusaidia mwanafunzi kujifunza kiswahili katika hali ya kujiburudisha.Kuna mengi ya kujifunza toka lugha,msamiati na hata utumishi wa misemo na methali.Mitindo tofauti ya ubunifu iliyotumiwa itawezesha mwanafunzi kuelewa mengi.

Quantity:

Categories: , Tag:

There are no reviews yet.

Add your review