FURAHA YA AROPE – OXFORD 3f

KSh220.00

Furaha ya Arope 3f

by Ken Walibora

Arope amezoea kwenda malishoni kuwalisha wanyama wao. Baada ya muda kidogo, baba yake anamtaka aende shuleni ill apate elimu. Arope anafika shuleni. Siku moja, mgeni mmoja wa ajabu anakuja shuleni kwa kina Arope. Mgeni huyu anafanya mambo ambayo yanampatia Arope furaha kubwa. Mwishoni Arope anakuwa ‘Arope wa Kitabuni’.

Quantity:

Categories: ,

There are no reviews yet.

Add your review