Dua ya Faraja

KSh250.00

Kijana mmoja, Gambo anajipata katika hali tatanishi. Baadaye, Gambo anafanikiwa kuikwepa mitego yote ya kimaisha na hatimaye anatimiza ndoto yake. “Nafasi yangu yanitatiza lakini mahitaji yanizidi…”

  • Title: Dua ya Faraja
  • Author: Sophy Onura
  • Publisher: Queenex Publishers
  • No. of pages: 58

Quantity:

Category: Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review