CHURA NA MJUSI – PHOENIX

KSh200.00

Chura na rafiki yake wanatayarisha karamu kwa marafiki wao. Lakini tamaa yake Chura yapita mipaka. Anajaribu hila iii aile minofu yote, lakini kitendo hiki kinaishia kumtia kwenye hatari. Mnofu mmoja unakwama kooni na juhudi zake za kuutoa zinashindwa. Mpaka wa leo angali anakoroma katika juhudi hizi.

Quantity:

Category: Tag:

There are no reviews yet.

Add your review