CHEUPE NA CHEUSI – OXFORD 4a

KSh220.00

Cheupe anapotumwa msituni usiku, hana habari kuwa dada yake, Cheusi, pamoja na mama yake hawamtarajii nyumbani tena. Hata hivyo, kile ambacho Cheupe anakutana nacho msituni kinabadilisha maisha yake kabisa.Cheupe na Cheusi ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wa kusoma na kuandika.

Quantity:

There are no reviews yet.

Add your review