CHEMICHEMI ZA KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA

KSh610.00

Chemichemi za Kiswahili ni mfulilizo mpya wa vitabu vya kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha chemichemi za kiswahili, kidato cha kwanza kimezingata mambo yafuatayo: Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele, maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengele mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi, ufafanuzi wa kina kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa pamoja na mpangilio mpya wa ngeli, mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza , usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida vitabu na kadhalika.

Quantity:

Categories: , Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review