CHEMCHEMI ZA KISWAHILI KIDATO CHA TATU

KSh750.00

Chemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili,

Kidato cha Tatu kimezingatia mambo yafuatayo:

  • Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
  •  Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
  • Ufafanuzi kwa king kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
  • Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
  • Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
  • Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha tatu.

Quantity:

Categories: , Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review