CHAPUCHAPU MORAN 1c

KSh200.00

Chapuchapu alipenda kufanya kila kitu kwa haraka. Alisema kwa haraka. Alisoma kwa haraka. Alikula kwa haraka. Alikunywa kwa haraka. Alioga kwa haraka. Alipiga mswaki kwa haraka. Alivaa kwa haraka. Je, haraka hii itamletea baraka?

Quantity:

There are no reviews yet.

Add your review