Bintu na Bintutu

KSh250.00

Bintu na Bintutu ni hadithi inayozungumzia jinsi wanakijiji wa Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa bintudama uliokuwa karibu na kijiji hicho. Bwana Bintu anafunga safari hadi kijijini Bantu kupata ushauri wa kuyaangamiza majitu hao. Anapata siri kuu kuwa majitu hupenda uji moto. Baada ya kuelezwa, mke wake Bintutu anatumia ushauri huo na kuyaua majitu yote! Familia ya Bintu na Bintutu inaleta ushindi mkubwa kijijini Bintunke. Baada ya hapo usalama, usafiri, elimu, utalii miongoni mwa mambo mengi ya kimaisha yanaimarika. Tom Nyambeka (Mtatago) si mgeni katika ugawa uandishi. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni pamoja na Ahaa! Roda, Kivuli cha Mauko na Heko na Haki.

  • Print Length: 38 pages
  • Publisher: Queenex Publishers Limited and Worldreader (August 27, 2018)
  • Publication Date: August 27, 2018

Quantity:

Category: Tags: ,

There are no reviews yet.

Add your review