Batamzinga Mchokozi

KSh210.00

Batamzinga ni ndege mchokozi ambaye tunafaa kujihadhari naye. Je, umewahi kumwona Batamzinga? Katika hadithi hii, Batamzinga Mchokozi, tunafanikiwa kukutana na ndege huyu ambaye anachokoza watoto na wageni wanaotembelea nyumbani kwa Bw Maarufu. Soma hadithi hii ujifunze uzuri na ubaya wa batamzinga. Rebecca Nandwa ni mwandishi mwenye kipawa kikuu. Ameandika: Chura Mcheza Ngoma, Mfalme Chui Mkatili, Ngamia Mpole na Maembe Matamu. Vyote vimechapishwa na Phoenix Publishers Ltd.

Quantity:

There are no reviews yet.

Add your review