BARUA YA MAISHA – MORAN 3d

KSh285.00

by Hezron Mogambi

“Ouma, amka. Kuna nini? Mbona huamki? Saa za kwendashuleni zimefika,” alisema babake Ouma.Baada ya kuugongagonga mlango kwa muda hakusikiachochote.Wazazi wake Ouma walimwambia mmoja wa wafanyakazi auvunje mlango wa chumba cha Ouma. Mlango ulipovunjwa, kila mmoja alipigwa na butwaa; Ouma hakuwa mle ndani. Dirisha la chumba chake pia lilikuwa wazi …Barua ya Maisha ni kitabu usichoweza kukiacha hadi usome hadithi nzima. Hadithi hii itawasisimua wasomaji kwa jinsi ilivyosimuliwa kwa ufundi mkubwa.

Quantity:

There are no reviews yet.

Add your review