Asiyesikia la Mkuu (KLB)

KSh300.00

Asiyesikia la Mkuu ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. Hadithi hii ya kusisimua inawatenga wanafunzi wa darasa la nne. Hadithi hii inamlenga mtu asiyependa kufuata ushauri. Kwa kukosa kufuata mawaidha ya wazazi, Madodo atapatwa na yapi? Ungana nasi katika usomaji.

  • Title: Asiyesikia la Mkuu
  • Author: John Kobia
  • Publisher: Kenya Literature Bureau

Quantity:

Category:

There are no reviews yet.

Add your review