ALPHA MAZOEZI YA KISWAHILI – HATUA YA PILI

KSh395.00

Mfululizo wa vitabu vya Alpha kwa shule za nasari umezingatia silabasi ya mwaka wa 2008 ya masomo ya shule za nasari (ECDE) kutoka KIE. Vitabu vilivyo katika mfululizo huu vina picha murwa za kuvutia watoto no lugha inayofaa kiwango cha mtoto. Vimekusudiwa kutumiwa nyumbani na shuleni. Mfululizo huu wa vitabu vya Alpha, umeshughulikiwa na jopo la walimu stadi na wenye tajriba maalum katika shule za nasari.

Quantity:

Categories: , Tags: , ,

Description

Pamoja na kitabu cha wanafunzi, pia kuna mazoezi kemkem yatakayomwezesha mwalimu au msaidizi anayemfunza mtoto kushughulikia kikamilifu mada zilizo kwenye silabasi.

There are no reviews yet.

Add your review