AHSANTE YA PUNDA – OUP 6d

KSh290.00

Ken Walibora.

Ahsante ya Punda 6d ni kitabu ktnacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi.
  • kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua.
  • ¬†kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yoke, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani.

Quantity:

There are no reviews yet.

Add your review