ADHABU YA SIAFU – STD 4, 5

KSh150.00

by Rebecca Zawadi
Adhabu ya Siafu ni hadithi inayozindua msururu Adabu na Utiifu’ inayolenga kuwaonesha watoto umuhimu wa kufuata maagizo na mawaidha ya wazazi. Ni onyo kwa watoto watukutu wasiofuata maagizo. Baraka na Zawadi, wahusika wakuu katika hadithi hii, wanaadhibiwa vikali na siafu kwa kutofuata ushauri wa wazazi woa Je, unamjua siafu? Kwa kimo chake kidogo hivyo, atatumia mbinu gani kumwadhibu mwanadamu?

Quantity:

Categories: , Tag:

There are no reviews yet.

Add your review