A+ Kiswahili KCSE Marudio

KSh800.00

by Simon NgigeFlora NyakeriLydia Gitau

A+ Kiswahili KCSE: Marudio ni kitabu cha marudio kinacholenga watahiniwa wa  KCSE. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo wa maswali na majibu kwa kuzingatia  mada zote zinazotahiniwa kulingana na mtaala wa KCSE

Quantity:

Categories: , Tags: , ,

Description

Sifa kuu bainifu zinazokifanya kitabu hiki kuwa mwimo wa mwanafunzi  anayetarajia kupata alama ya A+ katika mtihani wa KCSE-somo la Kiswahili ni  kama zifuatazo:

  • Maswali na majibu ya papo kwa Napo kulingana na mpangilio wa mtihani wa Kiswahili, ngazi ya KCSE.
  • Maswali kabambe na majibu ya karatasi ya kwanza: 102/1; insha. Insha zote zinazotahiniwa kulingana na silabasi zimetotewa maswali na majibu
  • Maswali na majibu ya karatasi ya 102/2; matumizi ya lugha na isimujamii  ambapo maswali na majibu ya vipengee vifuatavyo yametolewa; ufahamu,  ufupisho(muhtasari), matumizi ya lugha na isimujamii.
  • Maelezo na maelekezo ya jinsi ya kujibu maswali ya vipengele vyote ili  mwanafunzi afahamu jinsi anavyoweza kupata alama za juu
  • Vifungu vyenye mada za masuala ibuka iii kwenda na wakati na kuwapa wanafunzi stadi bora za maisha kando na kupita mtihani wa KCSE
  • Lugha nyepesi isiyokanganya katika kujibu maswali wakati wa marudio
  • Mwongozo wa usahihishaji wa maswali ya karatasi mbalimbali(insha,ufahamu, ufupisho, matumizi ya lugha na isimujamii)

There are no reviews yet.

Add your review